Monday, 24 February 2014

WE NIMJANJA NA UNAPENDA KUVAA V SHIRTS KWA AJILI YAKO soma hapa

kila size inapatikana toa order mapema utaletewa mzigo wako kwa jumla na reja reja kua mjanja kuvaa kitu kikali kutoka Anyalov African Wear

Sunday, 23 February 2014

PICHA ZA YULE MTOTO ALIYECHINJWA NA USTADHI HUKO MBAGALA...!!




mwili wa marehemu mtoto Jamali aliechinjwa na ustadhi mbagala charambe mianzini













mwili wa marehem ustadhi mohamed kurangwa aliemchinja mtoto ukishushwa katika hospitali ya Temeke

baadhi ya familia wakiwa katika msiba


baadhi ya wakazi wakichungulia nyumba lililotokea tukio la mauaji ya kikatili












WHATSAPP YAWAOMBA MSAMAHA WATUMIAJI WAKE DUNIA NZIMA BAADA YA ISSUE YA FACEBOOK


WhatsApp Sorry For Outage After Facebook Deal

The messaging service experienced server issues for a few hours, upsetting users around the world.

Facebook WhatsApp
The purchase is the largest single acquisition in Facebook's history

WhatsAppSkype*WeChatViberBBMThe estimated number of monthly active users forselected instant messaging apps (in millions)010020030040050045030027010080
Source: Company data. * = connected users
Graph: WhatsApp's User Base Beats Rivals'
Enlarge

The WhatsApp instant messaging app has apologised to users after being unavailable for several hours on Saturday night.
WhatsApp, which has more than 450 million monthly users, said it was having "server issues".
The company suffered the outage just days after it was snapped up by Facebook for $19bn (£11.4bn).
The messaging service tweeted at 8.16pm UK time on Saturday: "We hope to be back up and recovered shortly."
Users reacted angrily, saying their chat conversations were only showing a loading asterisk and the alert "Connecting..."
Taylor ITWT16 said on Twitter: "As Soon As Facebook Buys Whatsapp, Whatsapp Starts Malfunctioning."
Jazzy Marwaha tweeted: "Its been like 4 hours, you would have thought they could sort whatsapp out by now."
By 10.30pm the service appeared to be working again.
The firm tweeted: "WhatsApp service has been restored. We are so sorry for the downtime."
Facebook announced last Thursday that it would pay $4bn (£2.4bn) in cash and $15bn (£9bn) in Facebook shares as part of the deal to buy the real-time messaging service.
The app's founders and employees will get $3bn (£1.8bn) of the shares as restricted stock that will vest over four years after the deal closes.
The purchase marks the largest single acquisition in Facebook's 10-year history.
WhatsApp will "continue to operate independently and retain its brand" despite the acquisition, Facebook said.
Founded by a Ukrainian immigrant who dropped out of college, Jan Koum, and a Stanford alumnus, Brian Acton, WhatsApp is a Silicon Valley startup fairytale.
The acquisition will also see Mr Koum - a former Yahoo! engineer - join Facebook's board of directors.
Facebook is known to make bold moves to thwart competitors - it famously bought Instagram for $1bn after a weekend of negotiations.
:: Watch Sky News live on television, on Sky channel 501, Virgin Media channel 602, Freeview channel 82 and Freesat channel 202.

Kuhusu Kuzimwa Kwa Mtandao Wa Mawasiliano Ya Ujumbe Mfupi Wa Simu WhatsApp


Baada ya mtandao wa mawasiliano ya ujumbe mfupi wa simu WhatsApp  kupata tatizo kwa masaa machache watumiaji wa mtandao huo wameingia kwenye mitandao tofauti na kuanza kulalamika kuhusu facebook kununua mtandao huo na kuamua kufunga huduma yake ili facebook itumike zaidi. Fahamu mmiliki wa facebook amelipia dola bilioni 19 kununua mtandao huu.
Kupitia twitter account ya whatsup walitoa taarifa kuwa walipata tatizo kubwa na wanafanya marekebisha na kuwa mtandao huo utarudi hewani baada ya muda mfupi.
Hizi ndio twit zao
Mambo haya yalianza kusamba kwenye mitandao kuhusu whatsup kuzimwa.
The following two tabs change content below.