
Baada
ya mtandao wa mawasiliano ya ujumbe mfupi wa simu WhatsApp kupata
tatizo kwa masaa machache watumiaji wa mtandao huo wameingia kwenye
mitandao tofauti na kuanza kulalamika kuhusu facebook kununua mtandao
huo na kuamua kufunga huduma yake ili facebook itumike zaidi. Fahamu
mmiliki wa facebook amelipia dola bilioni 19 kununua mtandao huu.
Kupitia twitter account ya whatsup walitoa taarifa kuwa walipata
tatizo kubwa na wanafanya marekebisha na kuwa mtandao huo utarudi hewani
baada ya muda mfupi.
Hizi ndio twit zao
The following two tabs change content below.
No comments:
Post a Comment