06. Ommy Dimpoz |
05 . Ney wa Mitego |
04 . Wema Sepetu |
03 . Lady Jaydee |
02. Irene Uwoya |
01 . Diamond Platnumz |
Wasanii 6 wa bongo Wanaoongoza kumiliki magari ya gharama
06. Ommy Dimpoz
Dimpoz anamiliki Mark x yenye thamani ya zaidi ya milioni 30.
05 . Ney wa Mitego
Ney wa mitego naye anamiliki gari aina ya Mark X yenye dhamani ya shillingi milioni 35.
04 . Wema Sepetu
03 . Lady Jaydee
Jay dee anamiliki gari aina ya Range Rover Evoque linalokadiriwa kwenye milioni 65 hadi 72 hivi.
02. Irene Uwoya
Irene Uwoya ana miliki gari aina
ya Mercedes Benz S Class 550 Sedan yenye rangi ya Black metalic ambayo
thamani yake inakadiriwa zaidi ya millioni 153.
01 . Diamond Platnumz
Anamiliki gari aina ya TOYOTA LAND CRUISER V8 200 lenye thamani ya shillingi millioni 245 za kitanzania.
credit : vibe
No comments:
Post a Comment