Thursday, 20 February 2014

UKATILI: KIJANA ATUMIA JEMBE KUMUUA MAMA YAKE-MKOANI SHINYANGA


Katika hali ya kusikitisha ,kuhuzunisha na isiyokuwa ya kawaida kijana mmoja mkazi wa kijiji cha Mwakuhenga wilayani Kahama mkoani Shinyanga amemuua mama yake kwa kumkata na jembe kichwani na kusababisha kifo chake

No comments: