ISHAKUWA SHIDA.....PENZI LA RAY NA CHUCHU SI SIRI TENA...WENYEWE WAITANA VISURA:
![]() |
kijamii huku akiandika “I love my babyface NO MATTER WHAT (TOO MUCH)” akimaanisha kuwa anampenda sana mwigizaji huyo kwa hali yoyote ile na anampenda sana.
Penzi hilo limekuwa la utata baada ya kuleta mtafaruku hapo siku za awali baina ya waigizaji Johari na chuchu Hans kudaiwa kuzitwanga wakimgombania muigizaji huyo.
Source:Bongo Movies
No comments:
Post a Comment