![](http://4.bp.blogspot.com/-87Xc_i0p4-M/UwWFJgy6RmI/AAAAAAAAM1Y/6prNiYC2V1I/s640/facebook+girl.jpg)
SUALA
hili limekuwa sugu yani kila kukicha tunakemea kwa kulizungumzia picha
za wadada hawa mitandaoni, Hapo mwanzoni tulihisi walighafilika maana
hakuna binadamu aliyekamilika lakini kwa sasa tumegundua kuwa wanafanya
makusudi,.. Wengi hujiuliza kuwa Blogges wanapataje picha hizi? Ukweli
ni kwamba picha hizi wadada hawa bila aibu huanza kuzitupia katika
kurasa zao za facebook na hata Instagram wao wenyewe...
Tuungane
kuupinga ufirauni huu wa hawa dada zetu na sio kuponda Bloggers eti
wanadhalilisha wadada ilihali wanajidhalilisha wenyewe kwa kukosa
utu...!JIHESHIMU UHESHIMIWE MDADA...Sijui tunaelekea wapi na ulimwengu wetu maadili yamemomonyoka, Tunashindwa kuutumia utandawazi vizuri.
ONYO LA MWISHO... PICHA hizi hazina maadili kabisaaaa..! Hivyo kama unajijua
ONYO LA MWISHO... PICHA hizi hazina maadili kabisaaaa..! Hivyo kama unajijua
![https://scontent-a-lhr.xx.fbcdn.net/hphotos-frc3/t1/1888443_1470262376520424_1623221399_n.jpg](https://scontent-a-lhr.xx.fbcdn.net/hphotos-frc3/t1/1888443_1470262376520424_1623221399_n.jpg)
![https://fbcdn-sphotos-g-a.akamaihd.net/hphotos-ak-prn1/t1/12449_1470262396520422_988444824_n.jpg](https://fbcdn-sphotos-g-a.akamaihd.net/hphotos-ak-prn1/t1/12449_1470262396520422_988444824_n.jpg)
No comments:
Post a Comment