Friday, 14 February 2014

MAITI YAPIGWA MAKOFI

MAZIKO ya mtuhumiwa wa mauaji ya watu tisa na unyang'anyi wilayani hapa, Charles Kichune, yamesuswa na ndugu zake. Tangu Kichune afariki dunia Februari 9 kwa ugonjwa wa pumu katika Hospitali ya Wilaya ya Tarime, hakuna ndugu aliyefika kuchukua mwili huo...... soma zaidi http://tinyurl.com/o9o9ygp
Maiti yapigwa makofi

No comments: