
Siku za karibuni imekuwa kama fashion watu wengi kutupia picha za
nyeti zao katika mitandao ya kijamii huku kila mmoja akiwa na lengo
lake, wapo ambao wanatafuta kujulikana, wengine ndio kazi yao
wanatafuta
customer na wengine kama burudani lkn hii style mi nadhani
haijakaa sawa.




No comments:
Post a Comment