Sunday, 16 February 2014

HII NDIO SABABU ILIYOMFANYA RICH MAVOKO KUKIMBIA NA MASHUKA YA HOTELINI


http://2.bp.blogspot.com/-nG5pYcsm4_E/Ui8yIoJJ4QI/AAAAAAAApoo/fVb42Av9ttk/s400/rich+.jpg
Week end iliyopita Mavoko na Shettah walienda kufanya show Mtwara miongoni mwa vitu vilivyotokea kwenye hotel waliyolala ni kuhusu kuondoka na mashuka ya hiyo hotel taarifa hizi anazi-amplify Soud Brown sikiliza kupitia 87.8 Clouds Fm Mbeya.

No comments: