Msanii mwenye mvuto wa kazi africa mashariki anaetamba na kibao chake cha ROHO YANGU na vibao vingine vingi kama mary me na silali ammepata hofu kubwa ya kufunikwa kimziki na underground anaekuja kwa kasi alie tambulika kwa jina AMOUR JAY baada ya kuachia nyimbo yake ya KILA SIKU MIMI ambayo ilifanyika studio za MAZUU RECORDS.
msanii huyo chipukizi amejipanga vyema na yupo tayari kwa kasi ya mziki wa bongo fleva Tanzania na africa mashariki na kati. RICHARD MAVOKO alipofika studio za mazuu records na kusikiliza kibao hicho cha msanii huyo anachipukia alipata hofu sana na kuamua kuondoka akiwa ameshika kichwa ni atafanyanini ili aweze kulinda soko la mziki wake maana kijana huyoa anaonekana kuja kumzibia rizki chanzo chtu kilituhabarisha.
No comments:
Post a Comment