Mauti
ya kikatili ya mama anayedaiwa kuwa ni mzazi wa diwani wa viti maalu wa
Bukumbi huko wilaya ya Uyui mkoani Tabora yametokea jana tar.
26.02.2014. Kwa mujibu wa chanzo chetu kikiwasiliana na aloyson.com imedaiwa kuwa polisi wanaendelea na uchunguzi wa chanzo cha kifo hicho cha kuvamiwa mwanamke huyo na watu wasiofahamika.
Benki ya dunia imebana msaada wa
dola milioni 90 kwa Uganda , siku chache tu baada ya Rais Yoweri
Museveni kuishinisha sheriua mpya dhidi ya mapenzi ya jinsia moja.
Benki hiyo imesema kuwa inataka kufanya tathmini
yake kuhakikisha kuwa malengo yake ya maendeleo nchini Uganda katika
sekta ya afya, ambayo msaada huo ulikuwa unanuiwa, hayataathirika .
Sheria iliyoidhinishwa na Rais
Yoweri Museveni, ilitiwa saini Jumatatu na inatoa adhabu kali kwa watu
wanaoshiriki mapenzi ya jinsia moja.
Wafadhili wengine tayari wameanza kusitisha
misaada Uganda. Wahisani kama Denmark na Norway wamesema kuwa wataanza
kufadhili mashirika moja kwa moja badala ya serikali.
Aslimia 20% ya bajeti ya Uganda inategemea michango ya wafadhili.
Mpaka sasa nchi tatu za Ulaya zimeamua kukata misaada yao kwa mamilioni ya dola.
Wizara ya fedha ya Uganda imesema inasubiri mawasiliano rasmi ya nchi husika, na iko tayari kukabiliana na athari za hatua hiyo.
Hadi kufikia sasa Waziri wa Fedha Wa Sweden,
akiwa mjini Kampala, alisema waekezaji kutoka nchi yake watakuwa na
wakati mgumu kuweka pesa zao nchini Uganda kwa sababu watakuwa na hofu
kuwa sheria yo yote inaweza kupitishwa kuwadhulumu watu.
Jana serikali ya Uholanzi ilisema itazuia kwa
muda misaada kwa Serikali ya Uganda. Norway na Denmark pia zimetangaza
kupunguza au kusimamisha kwa muda misaada yake kwa Uganda.
""HABAR
ZA MUDA WAPENDWA.NINACHAKUZUNGUMZA HAPA,KWA KUWA SINA No.ZA SIM ZA
WASANII NA WAZALISHAJI(Producers) NIMESHNDWA KUWAFIKIA WOTE,LAKN HAPA FB
NAJUA WENG MPO NA NI RAFIK ZANGU.
UJUMBE WANGU:: Ninawaheshmu sana wasanii wa filamu na wazalishaj na wadau wote (HUSUSAN MKOA WA DODOMA).
Jaman kwan mtu kuamua kupiga hatua ya kujisimamia mwenyewe katika kaz
ni makosa? Mm sikufundishwa kumtegemea mtu katika maisha yangu ya kila
siku. Sasa unapokaa na mtu na kuambiwa kuwa siwapend wasanii wa filamu
Dodoma na wazalishaj(PRODUCERS) kuwa nazungumza hakuna anayenizid
mm,maana yako n ip hasa? Katika matukio yote muhmu ya wasanii wa FĂlam nimekuwa
nikihudhuria na kushilikiana vyema na wasanii. Wazalishaj wa filam
tumekuwa tukikutana vzur tu na kupanga mipango ya kisanaa mkoa wa
Dodoma. Aisee najua watu wanakuamin sana kwa utash wako na utu uzima wako,lakn kama mtu akikaa na wew kwa muda atakuelewa vzur.
Wasanii na Wazalishaj wa Dodoma mm niko pamoja na nyiny huyu anayeleta
chokochoko zake tayar ana maisha na Familia. Sis bdo vjana na
tunatafuta,so plz bdo mkoa haujakua kisanaa haina haja ya kupishana hv. Mm bdo nipo Dodoma na ninaendelea na kaz yangu ya kuandaa filam,Huyo anayesema nimeacha kwa kuwa hanion anawadanganya.
Nawaheshmu na ninawapenda sana.
***************GUD DAY***************
ALINENA HAYO KUPITIA UKARASA WAKE WA FACEBOOK
UJUMBE WA WAZI KWENU UONGOZI WA CLOUD'S FM. Hivi mnanitafuta kitu gani?mmenifatilia kwenye mziki mmeshindwa sasa naona mmeanza kufuatilia maisha yangu!?
Hata kama mafanikio ya maisha yangu yametokana na mikopo ya NATIONAL
LOANS nyie inawahusu??Mnashangaa mini kukopa mikopo katika Taasisi ya
NATIONAL LOANS Kwani mimi nani mpaka nisikope?Matajiri wangapi wakubwa
duniani wamefanikiwa kupitia mikopo hamjawaona?Mpaka mje kuniongelea
mtu kama mimi.kwa Taarifa yenu mkae mkijua hizo
fitina mnazotengeneza zitawarudi wenyewe na kama mlikuwa hamjui
nimejiunga na Taasisi ya Marekani ILa kwa Hapa Tanzania Matawi Yao
yanapatikana BARCLAYS BANK.Kwa sababu wanatoa mikopo nafuu na isiyokuwa
na RIBA Jaza fomu utapewa mkopo ndani ya DAKIKA 45.Hata kama upo mkoani
utatumiwa mkopo Wako ndani ya DAKIKA 45.Napenda mafanikio Mema kwa
watanzania bila ubaguzi wowote.Sio kukaa mnajadili watu wa CLOUD'S
FM,Kwa yeyote niliyemuudhi kwa haya maneno makali naomba anisamehe
sana,kwa mawasiliano zaidi piga namba 0715552098 na 0762764322 na
0784492321.Jiunge na upate mkopo Wako BOFYA HAPA http://National-Loans.wapka.mobi
Mswada huo ambao sasa utakuwa
sheria, unatoa adhabu ya kifungo cha maisha jela kwa wale
watakaopatikana na hatia ya kuhusika na mapenzi ya jinsia moja.
Mswada huo pia umeharamisha wanaharakati
kutangaza misimamo yao hadharani kuhusu au kuwasaidia wanapenzi wengine
wa jisnai moja kujitangaza hadharani.
Adhabu hiyo pia itatolewa kwa wale wanaopatikana
na hatia ya kuwahusisha watoto katika vitendo hivyo, walemavu au
kumuambikiza mtu virusi vya Ukimwi katika mapenzi ya jinsia moja.
Mswada huo umepigiwa debe sana nchini Uganda, lakini mashirika ya kimataifa ya kutetea haki za binadamu yameulaani.
Uganda imepuuzilia mbali shinikio za Marekani
na nchi zengine za Magharibi kutopitisha sheria kali dhidi ya vitendo
vya mapenzi ya jinsia moja.
Mswada huo umeweka sheria kali zaidi dhidi ya uhusiano wa mapenzi ya jinsia moja kwa yeyote atakayepatikana akishiriki.
Usagaji pia umeharamishwa kwa mara ya kwanza na
pia ni hatia kumsaidia mtu kushiriki mapenzi ya jinsia moja.
Wanaharakati wa kutetea haki za wapenzi wa jinsia moja wanasema
wanajiandaa kwenda mahakamani kupinga sheria hiyo mpya.
Uganda ni miongoni mwa mataifa 30 Afrika ambayo
yameharamisha mapenzi ya jinsia moja. Ni wiki jana tu ambapo Rais wa
Gambia Yahyah Jammeh aliyesema mapenzi ya jinsia moja ni sumu kali mn
The WhatsApp instant messaging app has apologised to users after being unavailable for several hours on Saturday night.
WhatsApp, which has more than 450 million monthly users, said it was having "server issues".
The company suffered the outage just days after it was snapped up by Facebook for $19bn (£11.4bn).
The messaging service tweeted at 8.16pm UK time on Saturday: "We hope to be back up and recovered shortly."
Users reacted angrily, saying their chat conversations were only showing a loading asterisk and the alert "Connecting..."
Taylor ITWT16 said on Twitter: "As Soon As Facebook Buys Whatsapp, Whatsapp Starts Malfunctioning."
Jazzy Marwaha tweeted: "Its been like 4 hours, you would have thought they could sort whatsapp out by now."
By 10.30pm the service appeared to be working again.
The firm tweeted: "WhatsApp service has been restored. We are so sorry for the downtime."
Facebook announced last Thursday that it would pay $4bn (£2.4bn) in
cash and $15bn (£9bn) in Facebook shares as part of the deal to buy the
real-time messaging service.
The app's founders and employees will get $3bn (£1.8bn) of the shares
as restricted stock that will vest over four years after the deal
closes.
The purchase marks the largest single acquisition in Facebook's 10-year history.
WhatsApp will "continue to operate independently and retain its brand" despite the acquisition, Facebook said.
Founded by a Ukrainian immigrant who dropped out of college, Jan Koum,
and a Stanford alumnus, Brian Acton, WhatsApp is a Silicon Valley
startup fairytale.
The acquisition will also see Mr Koum - a former Yahoo! engineer - join Facebook's board of directors.
Facebook is known to make bold moves to thwart competitors - it
famously bought Instagram for $1bn after a weekend of negotiations. :: Watch Sky News live on television, on Sky channel 501, Virgin Media channel 602, Freeview channel 82 and Freesat channel 202.
Baada
ya mtandao wa mawasiliano ya ujumbe mfupi wa simu WhatsApp kupata
tatizo kwa masaa machache watumiaji wa mtandao huo wameingia kwenye
mitandao tofauti na kuanza kulalamika kuhusu facebook kununua mtandao
huo na kuamua kufunga huduma yake ili facebook itumike zaidi. Fahamu
mmiliki wa facebook amelipia dola bilioni 19 kununua mtandao huu.
Kupitia twitter account ya whatsup walitoa taarifa kuwa walipata
tatizo kubwa na wanafanya marekebisha na kuwa mtandao huo utarudi hewani
baada ya muda mfupi.
Hizi ndio twit zao
Mambo haya yalianza kusamba kwenye mitandao kuhusu whatsup kuzimwa.