Sunday, 18 August 2013
FEZA KESSY MATITI YOTE NJE NJE UZINDUZI WA VIDEO MPYA YA LADY JAY DEE
Video ya yahala ilizinduliwa rasmi jana pande za nyumbani lounge. Baadhi ya wasanii kama Feza Kessy ambaye alikuwa mgeni rasmi, Vanessa Mdee na Mkolon...
Pamoja na kuwa mgeni rasmi, Feza anadaiwa kuwa miongoni mwa wasanii waliokuwa wamevaa vibaya huku sehemu kubwa ya matiti yakiwa wazi
Vazi lake lilikuwa likiyaanika matiti yake hadharani, hali ambayo iliwafanya hata watoto wayashuhudie.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment