PAUL MASELE aliekua mwanafunzi wa st john university of Tanzania ambaye kwa sasa yupo inchini india akijiendeleza na masomo ameshindwa kula chakula cha india na kukiri kukumbuka cha kula cha mama maarufu mitaa ya chamwino dodoma BIBI ESTHER nakuamua kuingia jikoni mwenyewe nakuangusha ugali wa nguvu angalia picha
SOUCRCE; ANYALOV
No comments:
Post a Comment