Thursday, 18 July 2013

IREN ALIA NA ULIMBUKENI WA DIAMOND

Kufuatia kuripotiwa kwa habari
iliyopewa kichwa "DIAMOND
AFICHUA KISA CHA KULALA NA
UWOYA!" , mwanadada Irene
Uwoya ameamua kuvunja
ukimya na kueleza dukuduku
lake la moyoni....
Habari hiyo ililipotiwa jana na
magazeti ya udaku ikisimulia
jinsi Diamond na Uwoya
walivyonasana na hatimaye
kuvunja amri ya sita....
Katika habari hiyo, msemaji ni
Diamond na wapambe wake
ambao wanasimulia jinsi
walivyomnasa Uwoya na
kumfanya akubali kuvua
nguo....
Baada ya habari hiyo kutoka,
Uwoya alishindwa kuyaamini
macho yake na hii ndo kauli
yake aliyoitoa:
“Kuna saa najiuliza kwanin
ukimwamini mtu ndio
anageuka...kwanin ukiwa
muwazi watu wanakuchukulia
vbaya?
"Leo( jana) nimeumia sanaaa
kuliko sikuzote...sijaamini mtu
niliye mwamini kumuona kama
rafiki yangu anaweza kuongea
shit kuhusu mim...
"Au najiuliza siruhusiwi kuwa
na rafik wa kiume? Lakin sa
nyingine nakaa chin nasema
God ...u know me
better”... Uwoya

No comments: