Diamond akiwa sambamba na mkurugenzi wa Clouds Media,Ruge Mutahaba wakielekea msikitini kusalia maiti.... |
Ghafla umati wa watu ulimzingira na kumuweka mtu kati.... |
Hapa akiwa amefika salama msikitin kwa nje alikutana na msanii Berryblack kutoka zanzibar |
Ili ni eneo la msikiiti.....wananchi walimzingira kwa wingi....wenye simu zenye uwezo wa kupiga picha walizitoa na kuanza kumwekua mwekua |
Hali hii ilizidi hata muda wa kutawaza ulipofika waliongozana nae.... |
Baada ya hali kuwa vile jeshi la polisi lilibidi kuingilia kati hali ile isije ikaleta vurugu na kuharibu mipango ya msiba..... |
No comments:
Post a Comment