1:22 AM
Kasema hivyo baada yakuzungumzia ishu ya Jide na Clouds na kusema ina
maamuzi yake na mfano ni leo hakuna kupiga nyimbo za Bongo Flava, kwamba
Clouds ina maamuzi binafsi Kwasababu ni redio binafsi so kutopiga
nyimbo za Jide ni maamuzi pia...Pia ameongelea kuwa kinacho mfanya lady
jay dee Awashutumu ni maswala binafsi tu ikiwemo Band ya Skylight
inayomilikiwa na mtangazaji wa Clouds FM kupata umaarufu mkubwa kwa sasa
kuliko Band yake ya Machozi Band...So kumfanya Lady Jay Dee
kuweweseka,.
No comments:
Post a Comment