Thursday, 9 May 2013

PONDA AHUKUMIWA KIFUNGO CHA NJE MWAKA MMOJA


Sheikh Ponda akiongea na baadhi ya wanahabari nje ya Mahakama ya Kisutu baada ya kuhukumiwa kifungo cha nje cha mwaka mmoja.
 Ulinzi uliimarishwa
Shangwe zilitawala nje ya mahakama.
Shangwe zilitawala nje ya mahakama

No comments: