Sunday, 5 May 2013

Mwingira wa EFATHA Awaita Viongozi wa Serikali ni Washenzi

Mwingira wa EFATHA Awaita Viongozi wa Serikali ni Washenzi

Leo Wakati Mwingira anatoa mahubiri yake
 kanisani. Anadai ameonyeshwa serikali wamemtuma mtu aje hapa kanisani ku spy ndipo alipoanza wewe uliyetumwa ni mshenzi na mambo yako ni yakishenzi sababu waliokutuma ni washenzi, Swali nalojiuliza Kwanini Mwingira Anakuwa na Hofu na watu wa serekali..Je kuna kitu anakificha? Wacha serekali ifanye kazi yake na si kuwatukana

No comments: