Thursday, 9 May 2013

maaskari wa 3 na raia mmoja mbaroni kwa kukutwa na fuvu la kichwa cha binadamu

Jeshi la polisi mkoani Morogoro linawashikia askari polisi watatu wa wilayani Kilosa na raia mmoja kwa kupatikana na fuvu La kichwa cha binadamu anaedaiwa kuuwawa hivi karibuni. Inasemekana Polisi hao walimbambikiza  mfanyabiashara mmoja kesi hiyo, wakati wakifanya upekuzi kwenye nyumba yake na kisha kuweka fuvu hilo chini ya gari kwa siri, huku wakimtaka mfanyabiashara huyo kuwapa shilingi milioni 25, kwa tuhuma za kupatikana na fuvu la kichwa cha binadamu


No comments: