Rumors mtaani zina tiririka kwamba eti aliyewahi kuwa mtangazaji wa
Clouds Tv Romeo Rommy Jones ndo mtanzania atakayetuwakilisha katika
reality tv show maarufu barani africa inayoitwa Big Brother Africa 2013
itakayoanza tarehe 25 mwezi huu wa May, baada ya taarifa hizo kufika
mezani kwa muhariri wa gazeti la makorokocho ikabidi nijaribu e
kutafuta ukweli wake, nilicheki na Rommy Jones alikanusha ila kwa haraka
haraka ukanushaji wake una kitu ndani, siku ishia hapo nikacheki na
Afisa Mahusiano wa Multi Choice Tanzania Bibie Babra Kambogi yeye
hakukanusha wala kukubali, zaidi akasema jina la mwakilishi wa Tanzania
ni siri na siri hiyo itakuja kufichuka Tarehe 25 May 2013, ambapo
tutaweza kujionea Live mshiriki huyo akiwakilisha ndani ya Jumba la Big
Brother lililopo Africa kusini
No comments:
Post a Comment