Matokeo
ya kwanza ya utafiti juu ya Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC)
umeonyesha kwamba jumuiya hiyo iliundwa kama chombo kilichoandaliwa
kuwepo kwa maslahi ya serikali na wafanyabiashara wakubwa.
Jumuiya
hiyo yenye wananchama watano ingawa ilianzishwa upya kuwa ‘’jumuiya
yenye misingi ya watu’’ wenyewe wa Afrika Mashariki, imebainika ushiriki
wa raia wa kawaida katika mchakato wa mtagamano huo ni mdogo mno.
Wanachama wa EAC ni pamoja na Kenya, Uganda, Tanzania, Rwanda na
Burundi.
Taarifa iliyotolewa na Jukwaa la Wataalam la Afrika
Mashariki (VEAF), lililofanya utafiti huo imebaini pamoja na mambo
mengine kwamba mpaka sasa mwenendo wa
..Read More
Source:
thehabari.com
No comments:
Post a Comment