BAADA YA KUFANYA MAPENZI:MWANAFUNZI AMCHINJA MPENZI WAKE(TUNAOMBA RADHI KWA PICHA AMBAYO SI NZURI)
Mwanafunzi amkata girlfriend wake kichwa baada ya kufanya nae mapenzi
Picha Ya Marehemu Baada Ya Kuchinjwa |
Imetokea kwenye jimbo la Niger, aliofanya unyama huo ni mwanafunz wa
chuo cha Federal University of Mechnology Minna, anaitwa Godwin Edeko na
ameshakamatwa na Niger state police, mtuhumiwa alijifungia ndani na
msichana uyo kwa siku 3,majiranI walisikia kelele,na jamaa
akakimbia,majiran walivyoona kimya wakaingia ndani na wakamkuta msichana
amekatwa kichwa,uchunguz zaidi unaendele.
Sasa kama ni wivu wa mapenzi au ni kisa chochote sisi Habari Vyuoni
tunatoa tahadhari kwa wapenzi wote walio katika vyuo vyetu tuwe makini
na partners wetu wengine wanakuwa na background mbaya maishani mwao.
Wengine wanakuwa na hasira kupita kiasi, na wengine wanaweza kuwa na
tatizo la akili. Inatakiwa mfahamiane vizuri kablya hamjaingia kwenye
mapenzi ya kuingia chumbani. Kitu kama hiki kilichotokea Niger kinaweza
kutokea hata hapa Tanzania…
No comments:
Post a Comment