Dogo janja msanii maarufu nchini tanzania amvulia kofia kijana antalov mitindo kwa upande wa kuvaa kimitindo na jinsi anavyotokea kwenye picha zake kupitia page ya ANTALOV MITINDO. kijana huyo alipewa sifa hizo baada ya dogo janja kumuona kwenye club moja dar.
No comments:
Post a Comment